Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







APARTMENTS 5/MADUKA-2, TSHS.285 MILIONI, TABATA SEGEREA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 720.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hizi Apartment 5 nzuri ndani ya Fensi na Parking ipo.
Kila moja ina vyumba vya kulala 2( Masta 1)
Sebule,Jiko na Store.
KODI ni Tshs.350,000 kila moja,- KwaMwezi.
Maduka KODI @ ni Tshs.200,000.
Maduka yapo mawili.
MAKUSANYO YA KODI:
Nyumba zote mbili na Maduka,
Kwa MWEZI ni Tshs.2+Milioni.
Vilevile kuna FREMU/Maduka mbili.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuin ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________oUk
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.