Nyumba inapangishwa Tambalale, Tabora




HAYA SASA KIWANJA KIMESHUKA BEI MILIONI 60
🌟 KIWANJA KINAUZWA KIPO TAMBALALE KIMARA KOROGWE 🌟
📍 Eneo: Kimara Korog we – eneo tulivu, salama, na linalokua kwa kasi
🕗 Umbali: Dakika 12-15 kutoka Stendi ya Mwendo Kasi Bodaboda: Tsh 1,000 tu kufika kiwanjani.
Maelezo ya Kiwanja:
Ukubwa: 25 m x 25 m = 500 sqm
Umeme: Upo tayari
Maji: Yanapatikana pale
Matumizi Yanayofaa:
Makazi ya familia
Nyumba za kupangisha au uwekezaji wa mapato
Ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye nafasi
💲 Bei Million 60,000,000/= ( Maongezi madogo yapo kidogo )
Service Charge: 50,000/=
Kiwanja kipo katika sehemu safi na yenye maendeleo – uwekezaji salama, wenye faida, na usiopaswa kuachwa!
📞 Wasiliana Nasi: +255712528820 / +255685221354
Mr.



















