Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(150,000 × 6) 𝗨𝗕𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗞𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000 × 6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVERSIDE
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#MASTER KUBWAA na #JIKO KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME SABMITA YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300