Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM &KITCHEN 200K X6
KODI LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO UBUNGO MAKOKA RIVERSIDE USAFIRI BAJAJI KUTOKA MAIN ROAD
UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01.10.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA
0713661530_0783661530