Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


IPO MOJA HAPA INAKUA WAZI J MOS YA WK HII KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KUTOKEA KIMARA KOROGWE 
AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENAL
KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN 
PIA DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
APA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN PIA RESERVE TANK LIPO KUBWA LA LITA ELIFU 5
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
0742260844
0657384670




















