Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Master bedroom na Jiko 200k๐
Specifications:-
โข Nyumba ipo Maeneo ya Ubungo Msewe๐
โข Chumba Kimoja Master bedroom
โข Jiko Lake Zuri Kabisa
โข Fence Na Parking in Progress
โข Kutoka Barabarani ni Dk 10
Payment Conditions:-
โข Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 200kโ
โข Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
โข Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
โข Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
โข 0744701813 Normal/Whatsapp๐ฒ