Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO UBUNGO EXTERNAL
IPO NDANI YA FENCE LAKINI HAIINGIZI GARI
INA CHUMBA SEBULE CHOO JIKO LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 250K KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA TUU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 20 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI UNAPOLIPIA NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30.05.2025
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0677370515