Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 500,000X6
LOCATION UBUNGO EXTRENAL MAJI CHUMVI KM1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA INAMALIZIWA MAREKEBISHO YA RANGI NK:
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347