Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost dalali_makini Ubungo
NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location: makoka kwa mkua
Umbali kutoka external usafi bajaji 500
Ukishuka dakika 5 kwa mguu
Gari ya chini inafika bila shida
Wapangaji watatu
Full ac
Dipoziti laki 350000
SIFA ZAKE
-chumba master
- Sebule jiko na choo ndani
-
Umeme LUKU inajitegemea
Maji dawasco inajitegemea
Nyumba inashea wanne ndani ya fence
Panking kubwa mlinzi yupo
KODI YAKE Tsh. 350000/ malipo miezi sita
Service Charge 20000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Dalali Makini Ubungo
0712500602
0755336565