Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam




Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo makoka kwa mkua km2 usafiri upo bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 150000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na Sebule Choo ndani
Umeme sapumita
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
dalali ubungo mbezi kimara
078529128



















