Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







HAPA MAJI NI MASAA 24
KODI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
.
.
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
.
.
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE
.
.
LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOONI
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
.
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347