Nyumba inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba Vieili vya kulala, ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 300.000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744


















