Nyumba inauzwa Buswelu, Mwanza


Nyumba hizi mbili kwa pamoja zinauzwa ziko Mwanza Buswelu Zina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko dining pabric toilet zote zinafana na muundo kiwanjachake kinatosha Bei ml75 mazungumzo yapo kwa mteja serious tupigie 0767346478 au 0686887297