Nyumba inauzwa Goba - Makongo Juu Road, Dar Es Salaam (300 sqm)


Aina
Nyumba
Ukubwa
300 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
✨Eneo zuri mnoo lipo karibu sana na lami lenye nyumba yakufanyia renovation au unaweza kuvunja ukawekeza apartments za ghorofa au nyumba yakuuza
✨Document: Serikali ya mtaa
✨Ukubwa : sqmt 300
✨Location: GOBA -MAKONGO JUU ROAD
✨Bei: million 63
✨Umiliki: mke na mume wote wapo hai
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:0692744340



















