Nyumba inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam







Nyumba anderground inauzwa kibamba kibwegere
Nyumba ni ya vyumba juu vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public
Chini vyumba v2
Eneo sqm 500
Bei mil 29
Hati mauziano selikali ya mtaa
Hii ni offa ya mwaka mpya Mteja wangu karibu sana mteja



















