Nyumba inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kitunda kivule njia panda shule stend wilaya ya ilala Dar (balabala ya kuelekea kanisa la Roma)
📌BEI MILION 68 Inapungua (usiogope)
Vyumba jumla ni v3
Dining siting jiko
Tailz maji umeme
Full fens kote
Gari moja had mjini
Eneo sqm 700 (makadilio)
0614130017