Nyumba inauzwa Mabibo, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI ZINAUZWA KWA PAMOJA MABIBO KARIBU KABISA NA CHUO CHA N.I.T NA NDANI INA WAPANGAJI FULL WANAFUNZI WA CHUO📍
BEI MILLION 89 KWA ZOTE MBILI
INA CLEAN TITLE DEED✅
KUTOKA CHUO HADI KWENYE NYUMBA WANAFUNZI WANATEMBEA TU
UNAWEZA KUJA KUKARABATI TU UKALA HELA SANA KISHA BAADAE UKAFANYA UNACHOTAKA
GARI INAFIKA
SERVICE CHARGE 50K📌
☎️📞#078681000


















