Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam


Pagala la vyumba v3 sebule jiko choo la kisasa lipo madale jirani na bunju km 5 kutoka madale mwisho lipo mtaa mzuri sana na limepimwa na lina hati miliki bei ni kitonga sqm 427 bei milion 29.5 piga cm tumalize
Contact
0625584914