Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI
Ndani yake Kuna nyumba mbili ambazo ni  chumba na sebule zipo 4 na mabanda ya kuku
Ukubwa-sqm 1200
Kumepimwa bado hati 
Bei-ml 100 maongezi 
Location- madale mkoroshini DAR-ES-SALAAM-TZ 
Umbali-mita 200 tu kutoka main road



















