Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







ipo mbagala chamazi magengeni
bei Tsh million 35,000,000/= milioni
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
Ina vyumba Vi4 vya kulala kimoja ni master bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toylety umeme maji nk
K A R I B U N I S A
📒 document za Advocate eneo sqm 400
✍️ mwenyewe Ana shida ina shuka bei njoo ukague chap 🏃♀️ 🏃♀️
NB : UKIIPENDA NYUMBA PIGA SIMU UKITUMA SMS MESSENGER UTACHELEWA KUJIBIWA 🙏 🙏



















