Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Njoo πββοΈββ‘οΈ boss wangu nkuzie hii nyumba kalli sana Ina uzwa tsh mil 110 tu
Ipo mbagala chamaz mikumi jiji la dar es salaam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa vigoa
Ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toilet π»
Eneo kubwa square β¬οΈ mitar 450
Kwa maelekezo zaidi nipigie CM au nicheki WhatsApp 0759 203175 0652 618 143 π