Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 118 tu
Ipo mbagala chamaz jiji la dar es salaam wilaya ya temeke
Ina vyumba vya kulala vnne kimoja ni master bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public school ina maji na umeme upo wa luku
Kwa maelekezo zaidi nipigie CM au nicheki WhatsApp


















