Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA KABISA NDANI YA FENCE INAUZWA
MBEZI MWISHO
NJIA YA MPIGI MAGOHE
YENYE SIFA HIZI####
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI**** PIA KUNA SERVANT QUATER YA CHUMBA MASTER NA SEBLE###
UKUBWA WA KIWANJA SQM 750****
UMBALI KUTOKEA MBEZI MAGUFULI BUS TERMINAL MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM 3,*****
USAFIRI UPO WA KUTOSHA ( PUBLIC SERVICE)
PAMEPIMWA ULASIMISHAJI.HATI(Sales agreement ).Mauziano###
BEI MILLION 90 MAONGEZI YAPO
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:0672 673363