Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 85
=======
NYUMBA INAUZWA
IPO MBEZI KWA MSUGURI
=========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3 NA POINTI 5
========
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
=========
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
CHOO CHA PABILIKI
=========
SEBULE DAINING JIKO LA KISASA
========
MAJI DAWASKO
KUNA CC TV CAMERA
=========
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE HATA KIPINDI CHA MUVUA
==========
KUPELEKWA KUONA 20000
IPO WAZI
0713320608
0686334182