Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA SABA (7) TSHS.280 MILIONI, MBWENI/KIEMBE SAMAKI, UNGUJA.
Hii ni nyumba nzuri ya kisasa na yenye nafasi.
Ipo eneo la MBWENI jirani na KIEMBESAMAKI.
Umbali wa wastani wa kilomita 7 tu kutoka kutoka STONE TOWN.
Eneo ni jirani na Uwanja wa Ndege pia.
Ni nyumba ya Ghorofa ya Sakafu mbili.
Ina:
● Vyumba vya kulala saba (7) ambapo
●Vinne (4) vina vyoo ndani,
●Sebule 3,
●Jiko,
●Dining-room,
●Store na Choo cha Familia zao.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750.
Umiliki ni HATI (Title Deed ya KAMISHENI YA ARDHI.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.