Nyumba inauzwa Moshono, Arusha


INAUZWA
Nyumba ya bedroom 3 ina uzwa jijin arusha moshono sent Jude ni nyumba yenye vyumba vi tatu vya kulala moja master public toilet sitting kitchen dining nyumba ina eneo urefu mita 25 upana mita 24 udongo mwekundu bei ml 75 kwa mwiitaji piga number 0753503791/0784457400