Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


🍾🏨 LOUNGE NZURI SANA INAUZWA – MABAGALA (KARIBU NA KITAMBAA CHEUPE)
Fursa adimu ya uwekezaji katika eneo la Mabagala karibu na Kitambaa Cheupe – sehemu yenye biashara inayokua kwa kasi.
💰 Bei: Milioni 270
📐 Ukubwa: Sqm 602
🛋️ Unaachiwa kila kitu (Fully furnished & equipped)
🔥 SIFA ZA ENEO:
✅ Vyumba 12 – vyote Master
✅ Parking space ya kutosha
✅ Bar kamili
✅ Jiko
✅ Counter
✅ Reception
✅ Public Toilets (Me & Ke)
✅ Store
📍 Ofisi: TABATA SEGEREA MWISHO STENDI
👀 Gharama ya kuoneshwa: 30,000/=
(Inalipwa mara moja na itadumu mpaka upate mali)
💼 Inafaa kwa wanaotaka kuingia moja kwa moja kwenye biashara bila kuanza from scratch.
📞 Piga simu kwa maelezo zaidi: +255688412890
✨ Dalali wako Wakishua



















