Nyumba inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam







.....NI MPYA.... IPO CENTAAA
Nyumba inauzwa Ukonga mombasa karbu sana na Gongo la mboto (MOSHI BAR) wilaya ya ilala Dar
šBEI MILION 60(usiogope)
Vyumba v3 dining na siting
maji
Eneo sqm 570 (makadilio)
Nyaraka ni leseni ya makazi
UNATEMBEA DAKIKA MOJA TU HADI STEND
Whatsap au piga 0673 601 114




















