Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani


Ipo vikindu vianzi ina uzwa tsh mil 65
Ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master bedroom
Ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toilet π»
Ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Ukubwa wa eneo sqmt 1000
Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 10
Hii ina uzwa bei ya kutupa sana boss wangu njoo uione tumalize biashara iyo CALL π 0683491594 0716974073