Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


π CHUMBA MASTER & JIKO β NDANI YA FENSI! π
π Mahali: Bunju B, Dar es Salaam
π
Nyumba mpya β zimekamilika kwa 90%, unaweza kuhamia baada ya siku 2!
βΈ»
πΉ Muundo wa Nyumba:
β’ ποΈ Chumba kimoja cha kulala (Master)
β’ π½οΈ Jiko
β’ β‘ Umeme: Mnashare wawili
β’ πΏ Maji: Unajitegemea
βΈ»
π° Kodi: TSh 90,000/= kwa mwezi
π Malipo ya kuanzia: Miezi 3
βΈ»
π NOTE:
β
Vyumba vya juu vyote vimejaa β vimebaki vya chini tu!
βΈ»
π Wasiliana Nami Leo:
π² Simu au WhatsApp:
β’ 0687 800 788
β’ 0713 958 395