Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







#APARTMENT_FOR_RENT_AT_GOBA_NJIA_NNE
📌CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📌SEBULE KUBWA
📌JIKO NZURI LENYE MAKABATI
📌CHOO CHA FAMILIA NJEE
📌UMEME LUKU YAKO
📌MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 350,000/=×6
NYUMBA IPO GOBA NJIA NNE MITA CHACHE KUTOKA LAMI NDUGU MTEJA
NYUMBA IPO WAZI NI KULIPIA NA KUINGIA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA KABISA
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258