Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


๐350,000 malipo miezi 6
Chumba namba 2,3,4,5,6,13,14,15,16
๐300,000 malipo miezi 6
Chumba namba 7,8,9,10,11,12
๐200,000 malipo miezi 6
Chumba namba 1
๐Njia 4 ya goba, dakika 2 kutoka lami
๐ฆMASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO
๐Utofauti wa bei ni kutokana na ukubwa wa nyumba
0714733355 nipigie/WhatsApp