Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani (lami kabisa)
<> nyumba ina chumba kimoja master nzuri
✅nyumba iko fenced
✅nyumba iko parking
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba nzuri na safi
<> asking price 120k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















