Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada stand
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko mpya kali
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ina mlinzi
✅nyumba ni apartment
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 550k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837


















