Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 180K MALIPO MIEZI X4
APARTMENT KWENYE COMPAUNT ZIPO 2
INAPANGIWA KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO OPEN KICHEN
PUBLICE TOILET NDANI
DILISHA ALUMINIAMU
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
UMEME MITA YAKO
NYUMBA AINA FENCI
USALAMA WAKUTOSHA
KODI 180K MALIPO MIEZI X4
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
N.B NYUMBA HII INAFAURISHWA UTALIPA 180K X4 KWA SASA BAADA YA HAPO UTALIPA 200K
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI