Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(260,000 × 6) 𝗨𝗕𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗞𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗪𝗔
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Ukishuka kwenye Bajaji unatembea Dakika 4 kwa Miguu kutoka Barabara ya Rami inayotokea KOROGWE Kwenda EXTERNAL
Njia zote Barabara ni 👍 na Nyumba ni MPYA Zipo Hatua ya Mwisho
============
• Chumba Kimoja Kikubwa Master
• Sebule Kubwa
• Jiko lake Kubwa la Kisasa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
Tsh. 260,000/- Malipo Miezi 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















