Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #MPYAA
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Kituoni Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
• HEATER
• AC
Apartment Zipo Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
contact
0742260844
0657384670
0788296797