Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII NI MASTER JIKO KUBWA
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hiki ni chumba kimoja master bedroom na jiko zuri ndani
Yaani chumba kimoja na choo ndani
Maji yapo ndani
Umeme mna shea watu WAWILI
KODI YA HIKI CHUMBA
______________________
Kodi ni laki na ishilini tuu/=
(120,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe message UTACHELEWA KUJIBIWA
CALL 0712500602
CALL 0755336565