Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿House For Rent #Stand Alone 
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence 
Location: KIMARA TEMBONI 
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi 
Distance: Dakika 20 Kutoka Morogoro Road 🚶
PRICE: 500,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana 
✍️Dinning Room 
✍️Vyumba V3 Vikubwa 
✍️Chumba Kimoja Master 
✍️Jiko Kubwa Zuri 
✍️Public Toilet Inside 🚻 
✍️Umeme Na Maji Independent 
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS 
✍️Reserve TANK 
✍️Fenced &Full Paving Available 🚘
✍️Full Paving Blocks 🚫 
✍️Good Environment 💥
Barabara Ni LAMI Mpaka Getini 🚗
Service Charge 20,000 
1 Month Agent Commission 
For More Informations 
0688 067 289 📞 
0714 418 005 WhatsApp




















