Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 50,000 x 6 ) #KIMARA_MWISHO SINGEL ROOM NZUR SANA NDANI YA FENCE INAPANGISHWA
UMBALI WA KILOMETA (1,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
NA CHOO CHA NJE MNASHER WA 2 TU
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747