Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿House For Rent #Stand Alone
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road/ Ubungo RiverSide, Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
Ukishuka Unatembea Dk 2 Unapiga Geti Teke
PRICE: 600,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba V3 Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Vyumba Vyote VINA Makabati Ya NGUO
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve Tank Kubwa
✍️Fenced &Parking Available 🚘
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000 /=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp
USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA ☎️



















