Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA KODI 130,000×6
MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI UMEME LUKU NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















