Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 MASTER BEDROOM NZURI SANA INAPANGISHWA - KIMARA KOROGWE
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕒 Umbali: Kutoka Stand ya Mwendo Kasi ni dakika 10–12 kwa mguu. Kwa bodaboda Tsh 1000 tu mpaka getini.
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
🔹 Chumba kimoja (Master Bedroom).
🔹 Jiko zuri na la kisasa.
🔹 Umeme & Maji (Submeter binafsi).
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7.
🔹 Fenced & Parking kubwa sana na salama.
👉Nyumba hii inakuwa wazi tarehe 20/03/2026 kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa.
💰 GHARAMA:
🔸 Kodi: Tsh 125,000 × 6 (Miezi sita)
🔸 Malipo ya dalali: Tsh 1250,000
🔸 Service charge: Tsh 15,000
📞 #Piga_simu👇
#please #Follow_us 🙏
Karibu Sana Mteja! 😊
0712656027




















