Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 MASTER ROOM MPYA YA KISASA – KIMARA KOROGWE
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕓 Umbali: Dakika 6 tu kutoka stand ya mwendo kasi
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
🔹 Chumba kimoja Master kizuri sana
🔹 Jiko nzuri sana
🔹 Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹 Maji yanafow ndani masaa 24/7
🔹 Fenced & Parking kubwa
👉 Ziko nyumba 4 kwenye compound moja – hii moja tu ndiyo imebaki!
💰 GHARAMA:
🔸 Kodi: TSh 200,000 × 6 (miezi sita)
🔸 Hela ya tahadhari: TSh 200,000 (sawa na mwezi mmoja)
🔸 Malipo ya dalali: TSh 200,000
🔸 Service charge: TSh 15,000
📞 #Piga_simu👇
📱 0627 977 383 (Simu & WhatsApp)
#please #Follow_us 🙏
Karibu Sana Mteja! 😊