Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 170,000X6
LOCATION KIMARA BARUTI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
__________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO LAKO NJE
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
#0785889413🔥🔥