Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿House For Rent #Stand Alone
Location: KIMARA BARUTI
Njia Chuo UDSM Au Unaweza Ukapitia UBUNGO MSEWE
Distance: Dakika 7 Kutoka Morogoro Road
PRICE: 700,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Vyumba V3 Vikubwa
✔️Chumba Kimoja Master
✔️Kitchen With Cabinets
✔️Store Kubwa
✔️Public Toilet Inside 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fence Inajengwa Speed 5G
✔️Parking Space Available 🚘
✔️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp