Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara baruti km1
Kodi 250000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Full A/C ndani
Hita ya maji moto na baridi bafuni
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















