Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA MPYAA ZINAPANGISHWA 300K X6
KODI LAKI TATU MALIPO YA MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#SEBULE 
#JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 
#UMEME UNAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI 
NYUMBA HIZI ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO 
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU ISHIRINI DALALI MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















