Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6 
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA 
#JIKO KUBWA 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#MAZINGIRA MAZURI TULIVU PARKING SPACE 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















