Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 MASTER BEDROOM INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA
📍 Mahali: Kimara Bucha
🕗 Dakika 7 za kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi
🏍️ Usafiri wa boda boda Tsh 1,000/= tu
🏡 SIFA ZA NYUMBA
🔸 Chumba kimoja Master Bedroom kikubwa
🔸 Jiko kubwa na zuri sana
🔸 Umeme na Maji vinajitegemea
🔸 Maji yanapatikana masaa 24/7
🔸 Fensi imara na Parking kubwa ipo
🔸 Usalama wa uhakika masaa 24/7
📅 Chumba kitakuwa wazi kuanzia tarehe 01/01/2025
👉 Karibu kuona ndani na kufanya malipo bila usumbufu wowote
GHARAMA
🔹 Kodi: Tsh 200,000/= × miezi 6
🔹 Dalali: Tsh 200,000/=
🔹 Service Charge: Tsh 15,000/=
🔹 Hela ya Tahadhari: Tsh 100,000/=
📞 Piga Simu / WhatsApp:
0740 747 383
🙏 Tafadhali Follow us
🤝 Karibu Sana Mteja – Huduma Bora ni Kipaumbele Chetu 😊



















